Thursday, 7 April 2016

SHULE YA SEKONDARI TAGAMENDA


Jengo la utawala la shule ya sekondari Tagamenda iliyopo Manispaa ya Iringa mjini mkoani Iringa




Hili ni moja ya jengo la madarasa ya shule ya seckondary Tagamenda, wanafunzi wakifanya usafi wa mazingira ya shule mbele ya jengo la madarasa.
Eneo tengefu kwa ajili ya maabara za shule ya sekondari Tagamenda zilizokamika na ambazo ujenzi wake bado haujakamilika kwa sasa.



Wanafunzi wakijisomea kwenye maktaba  ya shule ya sekondari Tagamenda. 

No comments:

Post a Comment